FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Full kushangilia
 
Attachments

  • 1433625389478.jpg
    1433625389478.jpg
    7.3 KB · Views: 164
  • 1433625404534.jpg
    1433625404534.jpg
    14 KB · Views: 161
  • 1433625415920.jpg
    1433625415920.jpg
    30.9 KB · Views: 155
  • 1433625431664.jpg
    1433625431664.jpg
    12.5 KB · Views: 154
Topscore hawanglii assist so n both neymer, messi n ronaldo ndo top score

Kuna ligi/mashindano huwa wanaangalia assists...

Ndio maana nilivyoandika nimeweka kwanza wote watapewa then nikagusia hilo la assists maana sijui rules za UEFA zipo vipi..
 
Kuna ligi/mashindano huwa wanaangalia assists...

Ndio maana nilivyoandika nimeweka kwanza wote watapewa then nikagusia hilo la assists maana sijui rules za UEFA zipo vipi..

Yap n kweli ila Uefa haipo ivyo so wote n top scorer
 
Yap n kweli ila Uefa haipo ivyo so wote n top scorer

FIFA huwa inatumia sheria ya number of assists kutoa zawadi ya mfungaji bora kama wachezaji wakifunga idadi ya magoli...

Hii ya UEFA ngoja nifuatilie rules zao...
 
Siku nyingine mtani akiona kuna mtu anamtishia nyau asione aibu kumsemelea Catalan.
 
Mtani naona umefurahi mchepuko kuwa bora kuliko mume teeeehe teeehe ...... Hongera kwa triple cup

Hahahaha!!! Mtani nilikwambia mwaka wangu huu kila upande bye...... Mtani kazi ya mchepuko ni kuleta faraja zaidi ya njia kuu na ukishindwa kuleta furaha mchepuko huo unatakiwa upigwe chini......pole sana mtani
 
Back
Top Bottom