FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

NESI ashindwa kuibeba Argentina...
wachapwa na Chile na kukosa Copa America...
aambulia goli 1 tu kwa mashindano yoote tena goli lenyewe la penati hukabwi...
ashindwa kumsogelea kwa mafanikio Dinho mnyama...
mpaka sasa hana World Cup wala Copa America lakini wakurupukaji wanatokwa povu na kusema Nesi ni mchezaji boora wa miaka yote...

sijui wamekula maharage ya wapi hawa?
 
king atabaki kua king messi ndo king wa mpira mkikataa mkimchukia kazi kwenu kuchukua world cup au copa america si kigezo wapo wengi ambao waliitwa wachezaji bora wa dunia na hawakuwahi kuchukua hizo kitu mwaacheni king aitwe king yee kama messi maewakilisha taifa lake ipasavyo ila wenzake ndo wamemboa ukibishana kazi kwako yee ataendelea kua mchezaji wa dunia kwa sasa hakuna sijui miaka inayokuja kama unamjua zaid yake tuambie hapa na uweke record zake halafu uje kuzifananisha na huyu mtu king of footbal lionel meeeeeeeesssi
 
leo washabiki wa epl na kule pande za juve bayern chelsea arsenal man u real madrid kutochukua messi copa america imekua kama ndio timu zao zimemfunga messi na bado msimu ukianza atakuonyesheni mtazidi kumchukia na tatizo lenu hata ukweli ukija hua hamtaki kukubali leo messi hakuchukua hilo kombe la copa lakini hata mfano angalichukua mngalikuja na sababu nyengine si hasha mkasema kabebwa na dimaria au kabebwa na refa nyie anti messi tumeshawazoea kama mpira 120min watu wako 0-0 penalt ya kwake ametia sasa wee ulitaka akakae kipâ uzuie za penalt za chile nyie endeleeni tuu kumchukia na atakulizeni tuu kila siku mkimkubali mkimkataa kazi kwenu nasema tena messi ni mfalme wa football anaebisha na abishe ukweli ndio huo
 
Inaonekana mchezaji unayemfahamu ni Messi tu.Ni fact so far Messi hajawahi kubeba World Cup wala Copa America
 
sasa wewe mtaje mchezaji aliyebeba copa america mara 2
 
leo washabiki wa epl na kule pande za juve bayern chelsea arsenal man u real madrid kutochukua messi copa america imekua kama ndio timu zao zimemfunga messi na bado msimu ukianza atakuonyesheni mtazidi kumchukia na tatizo lenu hata ukweli ukija hua hamtaki kukubali leo messi hakuchukua hilo kombe la copa lakini hata mfano angalichukua mngalikuja na sababu nyengine si hasha mkasema kabebwa na dimaria au kabebwa na refa nyie anti messi tumeshawazoea kama mpira 120min watu wako 0-0 penalt ya kwake ametia sasa wee ulitaka akakae kipâ uzuie za penalt za chile nyie endeleeni tuu kumchukia na atakulizeni tuu kila siku mkimkubali mkimkataa kazi kwenu nasema tena messi ni mfalme wa football anaebisha na abishe ukweli ndio huo

uko sahihi mkuu
 
king atabaki kua king messi ndo king wa mpira mkikataa mkimchukia kazi kwenu kuchukua world cup au copa america si kigezo wapo wengi ambao waliitwa wachezaji bora wa dunia na hawakuwahi kuchukua hizo kitu mwaacheni king aitwe king yee kama messi maewakilisha taifa lake ipasavyo ila wenzake ndo wamemboa ukibishana kazi kwako yee ataendelea kua mchezaji wa dunia kwa sasa hakuna sijui miaka inayokuja kama unamjua zaid yake tuambie hapa na uweke record zake halafu uje kuzifananisha na huyu mtu king of footbal lionel meeeeeeeesssi

porojo maandazi hizo.
Nesi tangu mashindano yameanza amefunga goli moko tu tena tuta.
 
nyie sijui hamuangaliagi mpira doh, mbona messi anacheza mpira mwingi tu argentina na ndo yeye man of the match katika kila game, kafunga goal moja ndio lakini assist goli nyingi.....mpira sio kufunga tu ndo mchezaji awe bora angalia mchangi wake anavocheza uwanjani, kuchukua makombe kwan messi anachezaga mwenyewe?? messi anacheza vizuri af mafanikio mbona kapata kufika fainali world cup na copa america we unachukulia mzaha au>>>> am out
 
nenda kachambe...maana umekunya
 
jiheshimu bro hatujuani hunijui sikujui tumia lugha ya kiheshima ya kiuana michezo Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:

kaka mzoee huyo maana ana ugonjwa wa kumchukia messi sababu timu yake acmilan ilifungwaga na messi Huyo sasa kawa babu mzee wa historia
 
hah hah hah hah nasikia eti juzi Nesi alialikwa ftari akashiba ndi ndi ndi na ndio maana akawa anajambajamba tu
 
BREAKING NEWS: Arda Turan signs
for Barcelona
The Catalans have confirmed a deal worth €41
million has been struck for the winger, though he
could still be sent back to Atletico Madrid should
their new president wish
Jul 6, 2015 20:05:00
Barcelona have completed a
€41 million deal to bring
Atletico Madrid star Arda
Turan to Camp Nou this
summer.
The Turkey international confirmed earlier this
summer that he would not be extending his stay
with the 2014 Liga champions and had been linked
with a number of Europe's top clubs.
However, Barca emerged as clear favourites for his
signature in recent days and have now confirmed his
arrival for an initial fee of €34m, with €7m to come
by way of add-ons.
OFFICIAL- @fcbarcelona announce the signing
of ardaTuran10line Welcome Arda!
10:10 PM - 6 Jul 2015
16,262 10,055
FC Barcelona
@FCBarcelona
Presidential candidate Josep Maria Bartomeu had
made it clear he planned to bring the versatile
winger to Camp Nou should he win this month's
election , claiming head coach Luis Enrique asked for
his signing.
However, Barca retain the option of selling the player
back to Atletico before July 20 should the new
president, set to be elected on July 18, not wish to
sanction his arrival.
 
10:10 PM - 6 Jul
 
jamaa ni mtu...hongereni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom