FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Siujui mpira ila nampenda messi, unifanya kuangalia mpira mara mojamoja sasa sijui akihama timu nami nitahama!!!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu hamia.barcelona utapata raha sababu kuna neymar pia
 
We nawe mpanaaaaa kama gaguro la muhindi.

Kweli kabisa... PNC 1 yeye ni FCB na team mesi ila now yupo anaomba nafasi kuingia MUFC.
Nakupenda sitaki ufe presha hahahaa
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha ha ha ha ha Haitokeiii cute b siwez shabikia man u hata kama timu zikiisha duniani
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa... PNC 1 yeye ni FCB na team mesi ila now yupo anaomba nafasi kuingia MUFC.
Nakupenda sitaki ufe presha hahahaa

Man u hata niumwe degedege siishabikii mama.
 
Last edited by a moderator:
hongera atoto kuwa timu bora na timu makini

Timu pekee ambayo huwa navutika kuangalia mechi zake ni barca messi na neymer daaah, cute b niache tu na presha zangu ila this is the team i heart alot, hiyo sijui man u mbaki tu na usheteni wenu ila mie hapana, siipendiiiiii.
 
Last edited by a moderator:
Timu pekee ambayo huwa navutika kuangalia mechi zake ni barca messi na neymer daaah, cute b niache tu na presha zangu ila this is the team i heart alot, hiyo sijui man u mbaki tu na usheteni wenu ila mie hapana, siipendiiiiii.

Hahahaaa je mesi akija man?
#GGGMU
 
Last edited by a moderator:
MUFC imepoteza mwelekeo??? Hahahaaa haupo serious mamy... ngoja uone EPL msimu ujao kesho kutwa mwezi wa nane.
OT ndo mpango mzima.

Hata misimu miwili iliyopita mlisema hivyo hivyo!!
 
Back
Top Bottom