FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daaaaah yani tumefungwa had na wachezaj wenye majina kwenye makalio badala ya mgongoni
 
Tumekubali siyo kila siku Jumapili kumbe kuna Ijumaa ya mateso narudi OT ...poleni wana Barca wenzangu. .... win ,lose or Draw all are the results.
 
Sijataka kuamini huyu huyu Aspas huyu Aspas kweli kabisa ni wa kuwanyanyasa Barca hivi teeehe teeehe zama zenu zimeisha kwa kweli

Btw poleni kwa kupoteza kwenye hii race ngoja sisi tukamate usukani
 
Tumekubali siyo kila siku Jumapili kumbe kuna Ijumaa ya mateso narudi OT ...poleni wana Barca wenzangu. .... win ,lose or Draw all are the results.
commentator anamaudhi. eti tumekuwa destroyed mara tumepata taste ya dawa yetu. ngoja tutatoa hasira kwa palmas.
 
Back
Top Bottom