Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barcelona 2 Madrid 0 Neymar&Suarez
Kama kawaida tupo hapa leo WAP cute b everlenk chebi A.Kunambi na wengineo woooooote Mafans wa Barca hata wale wasio wa Barcelona Mama a atoto ni FC BARCELONA miamba ya Catalonia vs Real Madrid wazee wa kupoteza muda SAA 2 :15 kwa masaa ya kibongo na ukichelewa dakika 5 unamkuta King Messi kazama Mara mbili wavuni

Vip mchawi mfupi aingie au asiingie ??
Nakupendaje mwaaaaaaaaaaaaaahKumbe huwa unanipenda eeeh? #VamosBarca
Mlishanifukuza sipo huko mie.
Varane anatoa kitu kilikuwa kinaenda ndani..!!
Weraaaaaaaaa
Woyoooo