Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Real Madrid pamoja na kuwa nyumbani imekumbana na kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa wapinzani wake hao wakubwa
Barcelona. Hasira za mashabiki wa RealMadrid sasa zimemuangukia Rais wa klabu hiyo Florentino Perezna wanataka
ajiuzulu kabisaa Uamuzi huo unatokana na wao kua hawaamini hawajibiki ipasavyo na timu hiyo imeingia katika matatizo
makubwa ya kushindwa kucheza kwa kiwango huku yeye akiwa kimya.Mashabiki hao wanaona wamepata aibu kubwa kwani
licha ya kuchapwa mabao hayo manne lakini pia Barcelona ndiyo iliyotawala mchezo huo kwa dakika zote 90 huku wakionyesha soka la kuvutia a.k.a tikitaka Mashabiki wa madrid waliokuwa uwanjani walikuwa wakizomea huku
wakiangalia upande aliokaa Perez ambaye walimuonyesha ishara ya kutaka aachie ngazi .
#nimenukuu nafikiri imeeleweka.
Talksports UK,radio no one ya michezo duniani inayo broadcast 24/7 up to the minute and inside information na an authority in anything soccer imetangaza officially kwamba Neymar has now become the second best player on the planet after Messi. Mnaonaje ni kweli au wanampandisha chart tu NeymarNa washukuru Messi kuanzia benchi
Wapo sahihi kabisa Mkuu, kwa kiwango hiki cha Neymar inampasa Messi asijione ni mungu mtu Barca. Neymar hatari sana Mkuu!Talksports UK,radio no one ya michezo duniani inayo broadcast 24/7 up to the minute and inside information na an authority in anything soccer imetangaza officially kwamba Neymar has now become the second best player on the planet after Messi. Mnaonaje ni kweli au wanampandisha chart tu Neymar
Talksports UK,radio no one ya michezo duniani inayo broadcast 24/7 up to the minute and inside information na an authority in anything soccer imetangaza officially kwamba Neymar has now become the second best player on the planet after Messi. Mnaonaje ni kweli au wanampandisha chart tu Neymar
Wapo sahihi kabisa Mkuu, kwa kiwango hiki cha Neymar inampasa Messi asijione ni mungu mtu Barca. Neymar hatari sana Mkuu!
wako sahihi kabisa.Talksports UK,radio no one ya michezo duniani inayo broadcast 24/7 up to the minute and inside information na an authority in anything soccer imetangaza officially kwamba Neymar has now become the second best player on the planet after Messi. Mnaonaje ni kweli au wanampandisha chart tu Neymar
90% wapo sahihi, tatizo naloliona ni upande wa media. Wanampa shavu zaidi Messi kuliko Neymar. Neymar kwa sasa yupo onfire.
Neymar anacheza vizuri sasa sababu Messi ni majeruhi,akirudi Neymar atarudi kivulini.Lakini kocha amefanikiwa kutengeneza combination wote wanacheza
sawa kabisa, ana kila sifa ya striker. kitu kingine anabidii sana na nidhamu yake imekuwa nzuri sana.Uwepo wa Messi pale barca kunaficha uwezo wa Neymar. Kama utakumbuka pep Gandiola alimuuza Deco ili ampe nafasi Iniesta. Hivyo hivyo kwa Atletico Madrid walimuuza Falcao wakijua uwezo wa Diego Costa.
Neymar kwa sasa ni moto wa kuotea mbali. Ana dribble, anapiga mashuti, anakimbiza, anafunga na anajua kujiposition.
Messi ni habari ingine,mpira ukinasa kwenye mguu wa kushoto kama umepigwa glue the world expects the opposition net to bulge. Messi makes football look so simple na i dont think kama kwa dakika 90 huwa ana toka jashoUwepo wa Messi pale barca kunaficha uwezo wa Neymar. Kama utakumbuka pep Gandiola alimuuza Deco ili ampe nafasi Iniesta. Hivyo hivyo kwa Atletico Madrid walimuuza Falcao wakijua uwezo wa Diego Costa.
Neymar kwa sasa ni moto wa kuotea mbali. Ana dribble, anapiga mashuti, anakimbiza, anafunga na anajua kujiposition.