PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Mkuu unapambana sana na Barcelona ila nakukaribisha hapa jukwaani mida ya SAA 4:45 usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unapambana sana na Barcelona ila nakukaribisha hapa jukwaani mida ya SAA 4:45 usiku
Akaribie karibu na TV aone mafundi wa soka duniani
Tuwekee na ile picha ya El Classico msimu huu pale Bernabeu!
In CL this season:
Cristiano = 11 Goals
Neymar + Suarez + Messi = 9 Goals.
#King
leo hakuna Neymar (majeruhi), Iniesta, Alves, "busketi", macherano, Pique na suarez. naona wamehifadhiwa kwa weekend na katikati ya wiki ijayo japan.
Hii gem ya leo tulitaka kumzawadia liverkuzen aingie 16 lakini imedhihiri kua hata watoto kutoka lamasia hawashikiki wee angalia pique. Masherano. Suarez. Neymar. Alves. Iniesta. Bousqet . Wote hao out still wameshindwa kupenya 16 bora barca kiboko yao
gem kama hii ya leo nakumbuka ilikua season 2012 hivi kina cristian tello na alcantara na muniesa waliwapiga liverkusen 7 pale pao tena daah ukiichukia barca unajitia ugonjwa wa moyo
hahahaaa. Neymar na iniesta wana majeruhi. Alves alikuwa suspended. kocha akaamua na wengine wapumzike wacheze wakina kaptouma. ila mpira ulikuwa mbovu sana. madogo hawawezi kokota mpira kabisa. ila varmaleeen si akatafute timu nyingine!?Sikufahamu kuwa hadi na ulaya nako wanauzaga mechi had leo
JANA BARCA KAUZA MECHI SIJAWAIONA MPIRA MBOVU KAMA WA JANA YANI MBOVU KULIKO YANI KUPINDUKIA HAKIKA KAMA MTU ALIKUWA ANAISKIAGA BARCA SIFA ZAKE ALAF KWA MARA YA KWANZA NDIO ANAIONA hawez ishabikia teeeeena Najua tunaratiba ngumu mbele yetu ila Jana tumeuza mechi
hahahaaa. Neymar na iniesta wana majeruhi. Alves alikuwa suspended. kocha akaamua na wengine wapumzike wacheze wakina kaptouma. ila mpira ulikuwa mbovu sana. madogo hawawezi kokota mpira kabisa. ila varmaleeen si akatafute timu nyingine!?
Ha ha ha ha ha vamalen huyo ndio kawa uchochoro kabisaaaa