FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona-Vs-Athletic-Bilbao.jpg
 
hiyo video iyangalieni kwa umakini halafu mnambie katika sayari hii ni nani alishawahi kufanya vitu kama hivyo ukiachia diego maradon and then lionel messi
 
hiyo video iyangalieni kwa umakini halafu mnambie katika sayari hii ni nani alishawahi kufanya vitu kama hivyo ukiachia diego maradon and then lionel messi

nimeiona mkuu video messi ni balaa..ukimweka pending Diego10ş, hakuna wakumfananisha na messi hadi sasa hii 2016 namba ingine ile
 
yaani katika robo final ya copa del rey tunakuja kukipiga tena na athletic bilbao hawa jamaa tuna mechi tatu na wao nikizikumbuka zile goli nne walizotupiga katika kuwania ngao ya ufunguzi wa ligi basi hua sipati picha
 
In an hours time,footballs greatest strike force will be in action-fans and neutrals cannot wait-may the force be with Barca
 
wakuu kuna mastraika wa ile timu ya mchangani wamekaa kwenye nafasi za MSN kwenye ufungaji inabidi kuwatoa leo (kwa sauti ya muro).
 
messi katupia penati dk ya 7. na Neymar katupia dk kama ya 28. bilbao wana red toka dk 4.
 
goal from messi penalt and neymar assisit from luis suarez a.k.a MSN
 
Back
Top Bottom