FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

mpira ni raha sana-watake wasitake Suarez akisaidiwa na M na N lazima awe mfungaji bora-sijui hili tukio la generosity alilofanya Messi linaweza fanywa huko mtaa wa pili
 
mpira ni raha sana-watake wasitake Suarez akisaidiwa na M na N lazima awe mfungaji bora-sijui hili tukio la generosity alilofanya Messi linaweza fanywa huko mtaa wa pili

Hahahaa thubutu yao! , hii kitu bana king messi alishapanga afanye ivo..dah nimeipenda
 
Nimefura baada ya kichapo hiki 6 kwa 0 kwasaba mwakajana walituaibisha 4 kwa m1 sasa deni limeiaha
 
Lionel Messi repeated Johan Cruyff's famous penalty routine by passing to Luis Suarez from the spot during Barcelona's 6-1 win over Celta Vigo on Sunday.
 
d319c8b8504cfceaae55a5fcda30060e.jpg
 
Masters of the game,entertainment 100%,undisputed ball controllers and pass gurus Barca wanaingia uwanjani leo-MSN will spearhead the attack.With crossed fingers the world awaits

Kweli they are pass gurus, pass mpk kwenye penalty, off course si kitu kipya Lakini Messi kawadatisha watu huko Twitter
 
Lionel Messi repeated Johan Cruyff's famous penalty routine by passing to Luis Suarez from the spot during Barcelona's 6-1 win over Celta Vigo on Sunday.
And it was a dedication to Johan Cruyff who is currently struggling from lung cancer.
 
Mkuu hapo anamtengenezea mnyama SuareZ ufungaji bora tu......huyo ndio magician MESSI ze best plyr of all time
sasa hiyo penalt inaingia katika record books kama miss au?? Huyu Neymar hizi flicks na tricks yuko kwenye level ya pekee-he can do anything when the ball is in his foot,anawapita defenders at will na keeper pia anapigwa chenga. When Neymar is on song he is a joy to watch
 
Back
Top Bottom