FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] atletico Messi atapiga 3 pia tutawafunga nyingi ukizingatia hasira juu ya mechi iliyopita
Hizo tatu zitakuwa rahisi hivyo au. Mimi nasubiri maajabu ya mpira tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Barcelona leo anagongwa anebisha aweke jiwe mi natia ela
 
Wachambuz wote wa Supersport world of champions walipoambiwa kila mtu atabir ni ushind wa ngapingapi leo kila mtu ameitabiria Barcelona ushindi mwingine 3:1 2:0 4:0 3:1 sasa wewe mbongo wa Tandale unasema kuwa Barcelona anafungwa
only in Tanzania
 
Messssssssssiiiii anawakosa.
Dk 5 0:0
 
Wachambuz wote wa Supersport world of champions walipoambiwa kila mtu atabir ni ushind wa ngapingapi leo kila mtu ameitabiria Barcelona ushindi mwingine 3:1 2:0 4:0 3:1 sasa wewe mbongo wa Tandale unasema kuwa Barcelona anafungwa
only in Tanzania
Mkuu acha kutoka povu ata mechi na RMA wachambuz wengi walitabir Barcelona anashinda mwisho Wa sku kagongwa
Wale nao ni bina dam kama wewe na usiwasujudie sana
 
Back
Top Bottom