FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi mamaa ya camp NOU jackline1 yupo wapi siku hizi???
Mimi nipo,sema unexplained loss of form ya ghafla ya Barca bado kidogo inipeleke intensive care,ingekuwa kule kwetu usukumani ningejua juju limeidhuru Barca but huku juu hakuna hiyo kitu- Nashukuru ile blip imepita na sasa all guns are blazing-naamini Gijon are in for a harsh lesson
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Umerudi? Mizimu ya kwenu usukumani ikuondolee msongo wa mawazo... Soka halina adabu, Bora ungepumzika kwanza kipindi kigumu mpaka next season. Maana kitu chochote kinaweza kutokea kwenye hizi mechi 4 ukafa ghafla bure. JF bado tunakupenda humu!
 
Come rain or shine,mimi ni Barca for life until death parts us-Barca wii conquer all-that blip is history-sasa hivi no more missing goal scoring opportunities-tatizo limetafutiwa dawa-hiyo dawa ndio itaampa pachichi Suarez-mtasubiri sana
 
Hao ndio usiwataje kabisa. Wakiwa one man down wamekupiga Camp Nou. Na sasa hivi wanacheza UCL nusu fainali. Hivi umepata wapi kiburi cha kuwabeza

😀😀 Wewe Pagan Una uhkk kama mtafika hta hiyo final? Hahahaaa haya bhana na Ndio maana nikawataka wewe na ma-fans wenzio mkae kimya from last week to final, sasa kelele za nini mapema ivi?

Au kwakuwa mmepewa timu rahisi kulingana na timu yenu jinc ilivyo imepita ki-bahati bahati,, sasa hapo kumpata mshindi sindio kazi?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
pole kwa ban mkuu. jamaa hao mwaka huu sidhani kama wataambulia kitu. hata pachichi Suarez anawakomalia.

Asante mkuu...i thnk wamejionea wenyewe ya jana , still kesho tena, dis year watalikimbia jukwaa la wanaume😀😀
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Au kwakuwa mmepewa timu rahisi kulingana na timu yenu jinc ilivyo imepita ki-bahati bahati,, sasa hapo kumpata mshindi sindio kazi?

Bado unalialia na champion league draw Tu. Onyesha ukomavu WA michezo kidogo na ukubali kwamba Real Madrid deserved to be there. Kwanini unawadharau wakati only 2 weeks ago wakiwa one man down wamekupiga nyumbani kwako. BTW hao Atletico unaolia kwamba ulipewa timu ngumu last season waliondolewa mashindanoni na nani?
 
Sergio Ramos: “It wouldn’t hurt if Ronaldo rested from time to time, but he doesn’t like to rest when he’s playing for individual awards such as the Golden Boot."[emoji12] [emoji12]
 
Which team would you like to face in European league semi-final?

Luis Enrique: " I would like to face Barcelona".

Sijui jamaa Ni division 5 shule za kata!!!
 
Sijui jamaa Ni division 5 while za kata!!!
source please
 
Which team would you like to face in European league semi-final?

Luis Enrique: " I would like to face Barcelona".

Sijui jamaa Ni division 5 shule za kata!!!
Uwiiiiii amesema hivyo???

Huyu ndio mulugo wa spain!
(TZ ni muungano wa nchi mbili ZIMBABWE NA PEMBA)
 
555161083b3f6552762254be961b275f.jpg
Leo ni sherehe CAMP NOU yatakuwa maumivu mengine kwa wapinzani wetu FC BARCELONA vs S.GIJON
SAA 3:30 USIKU E.A.T
KARIBUNI SAAAAANA NAZIONA GOLI ZAID YA 5 LEO MESSI HATTRICK SUAREZ ATAMKUTA PENADO NA NEYMAR ATAONYESHA MAUFUNDI SAAAANA
VIVA BARCELONA
 
source please
Huwa umsikilagi kocha wake kwny interview au uelewagi lugha ayo maneno kasema na akasema timu pekee anaiona inayoweza kuwazuia na kuigopa ni barcelona tu na kila cku n sherere nou camp cku za game
 
Basi sawa japo mmeponea chupuchupu
 
Back
Top Bottom