FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu refa akimaliza hii game wamfanyie tena vetting ya kutosha. Na wasiwasi na taaluma yake
 
Simpendi kabsaa pique ila leo kaonyesha kiwango flan hivii cha ki utu uzima

Though I hate to say that
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Inabidi tutafute la pili mapema. Hawa wakisawazisha na tukaenda nao penati wanaweza pindua matokeo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom