Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Hat trick ya messi ni noma within 29 min
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Timu ya taifa inayochukiwa zaid ulaya
Naizungumzia Spain ipo uwanjani huku Barcelona ikianzisha wachezaj wa 4 kati ya wa5 huku Marc Batra akiwa ni mchezaji pekee wa Barcelona kuwa bench na hii ndio sababu watu hawaipend Spain sababu ukiishabikia ni kama unaishangilia Barcelona
Linalowakera zaid Madrid imeingiza mchezaj mmoja tu Ramos
VIVA SPAIN VIVA iniesta Pique Bosquet Alba na Super sub Batra
PAGAN unashabikia Spain? Alba to bosquet bosquote to Iniesta iniesta to Pique. Gooooooooool wonderful gooool
Hongera mkuu ila Sikumoja nitafika camp nou[emoji45] [emoji45] japo ni ndotoMan mi nimeishi Kule more than a decade, nilikwenda hata sijafikisha miaka 20, mpaka last year ndio nimeondoka man. Kwahiyo sio kwa ajili ya mchezaji flani. It is a logical Mimi kuishangilia La roja man
kweli ni ndoto[emoji13] [emoji13]Hongera mkuu ila Sikumoja nitafika camp nou[emoji45] [emoji45] japo ni ndoto
kweli ni ndoto[emoji13] [emoji13]
Leo Timu ya taifa inayochukiwa zaid ulaya
Naizungumzia Spain ipo uwanjani huku Barcelona ikianzisha wachezaj wa 4 kati ya wa5 huku Marc Batra akiwa ni mchezaji pekee wa Barcelona kuwa bench na hii ndio sababu watu hawaipend Spain sababu ukiishabikia ni kama unaishangilia Barcelona
Linalowakera zaid Madrid imeingiza mchezaj mmoja tu Ramos
VIVA SPAIN VIVA iniesta Pique Bosquet Alba na Super sub Batra
Wakuu tupo au ndio tumezimiwa
Oh my! Huyu Iniesta mbona kazeeka ghafla? Kapata kipara ndani ya wiki mbili Tu. Anyway, lakini mashine bado poa
Hat trick ya messi ni noma within 29 min
Leo Timu ya taifa inayochukiwa zaid ulaya
Naizungumzia Spain ipo uwanjani huku Barcelona ikianzisha wachezaj wa 4 kati ya wa5 huku Marc Batra akiwa ni mchezaji pekee wa Barcelona kuwa bench na hii ndio sababu watu hawaipend Spain sababu ukiishabikia ni kama unaishangilia Barcelona
Linalowakera zaid Madrid imeingiza mchezaj mmoja tu Ramos
VIVA SPAIN VIVA iniesta Pique Bosquet Alba na Super sub Batra
Huku Argentina huku Spain raha saaaana😀😀 Hapo umenena, jana mashabiki wa madrid wamegeuka kuwa Barcelona fans, wakasahau kuwa wao ni madrid fans...
Alfajir ya kesho tujiandae kuuwa mtu...
Albiceleste & Venezuela, hapa kazi tu
Huku Argentina huku Spain raha saaaana