jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Hii timu tulitegemea kutokana na policy yake ya wazawa only,itashuka daraja tu-but against all the odds ina surviveNilikua sijui hii mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii timu tulitegemea kutokana na policy yake ya wazawa only,itashuka daraja tu-but against all the odds ina surviveNilikua sijui hii mrembo
Anceloti hajachukua laliga mkuu...kachukua copa del ley na UCL....mtu wa mwisho kuchukua laliga kwa madrid ni MouNilikuwa sijapita hapa siku nyingi. PNC 1 huu msimu tunatakuwa kuwa makini sana. Maana jamaa zetu Wa madrid wana kiu na hili kombe ile mbaya. Kama nitakuwa sahihi tangu 2009 wameinua kwapa mara mbili. Mara moja wakiwa na mpayukaji Mourinho na mara ya pili wakiwa Ancelloti.
So usishangae ubingwa kuamuliwa kwa magoli au head to head game. Ila nakiamini kikosi chetu.
Aleyn umemwona wapi?
Za kupewa.
ni kweli mkuu Madrid wana njaa na la liga hvyo tukifanya makosa tutakuja jutiaNilikuwa sijapita hapa siku nyingi. PNC 1 huu msimu tunatakuwa kuwa makini sana. Maana jamaa zetu Wa madrid wana kiu na hili kombe ile mbaya. Kama nitakuwa sahihi tangu 2009 wameinua kwapa mara mbili. Mara moja wakiwa na mpayukaji Mourinho na mara ya pili wakiwa Ancelloti.
So usishangae ubingwa kuamuliwa kwa magoli au head to head game. Ila nakiamini kikosi chetu.
Aleyn umemwona wapi?
Na ilikuwa msimu wa 2011/2012Anceloti hajachukua laliga mkuu...kachukua copa del ley na UCL....mtu wa mwisho kuchukua laliga kwa madrid ni Mou
Ahsante kwa kuliweka hilu sawa. Ndio maana nikasema kama kama nitakuwa sahihiAnceloti hajachukua laliga mkuu...kachukua copa del ley na UCL....mtu wa mwisho kuchukua laliga kwa madrid ni Mou
mimi kwa macho yangu nishamuona behind closed doors akicheza kama striker-na swala la yeye kutupwa mbele siku mmoja linazungumziwa sana na wa catalan. Usisahau when it happens you heard it from me
sasa hapo usichoelewa nini kwa maneno mengine with my own eyeskwa macho yako?
ulienda kwenye practice uwanjani kabisa?
sasa hapo usichoelewa nini kwa maneno mengine with my own eyes
siku mmojammoja wacheze wote wanne in a four pronged attack tuwe tunashinda kwa double figuresOFFICIAL: Barcelona sign €30m
Valencia striker Alcacer
Aug 30, 2016
The 22-year-old joins Lionel Messi, Neymar and
Luis Suarez as part of a formidable attacking
line-up at Camp Nou
Barcelona have announced the signing of Spain
striker Paco Alcacer from Valencia on a five-year
deal.
The 22-year-old, who was omitted from the
Valencia side that lost 1-0 to Eibar on
Saturday, underwent a medical at Barca on
Monday before completing a move worth an
initial €30million.
Alcacer scored 43 goals in 124 appearances for
Valencia and has won 13 caps for his country.
Barca inside outBasi we kweli mshabilki wa damu....
MSN in actionNeymar Kazid ibeba Brazil MESSI bado half Time ila kaibeba Argentina na Suarez ngoma bado ngumu kwani wanacheza na Argentina