BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
dah, jamaa wananidhamu kwenye kudefend sijawahi ona. line mbili kule nyuma zilikuwa hazivunjiki walishaanza kunifrastretisha. natumai kipingi cha pili hawatakuwa na rohombaya hivyo.
Kipindi cha pili zinatiririka😀😀😀 kama sio 4,5