Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
leo naona goli nyingi sana. Messi anaweza asiingie.Goooooooool
Suareeeeeeeeez
BARCELONA 3
HALF TIME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo naona goli nyingi sana. Messi anaweza asiingie.Goooooooool
Suareeeeeeeeez
BARCELONA 3
HALF TIME
ila kama vp bora asiingie yasijemkuta mengineleo naona goli nyingi sana. Messi anaweza asiingie.
naona anapasha. bila shaka Turan atatoka.ila kama vp bora asiingie yasijemkuta mengine
yap ni kweli mkuunaona anapasha. bila shaka Turan atatoka.
Mechi Imebadilika Sana baada ya messi kuingiaILA MESSI ATABAKI KUWA MESSI
Ni kweli mkuu yani tunashambulia sana kwani tangu ainhie kasi imeongezeka maradufuMechi Imebadilika Sana baada ya messi kuingia
Wachezaji walikuwa hawajiamini kabisa,wanapoteza mpira hovyoNi kweli mkuu yani tunashambulia sana kwani tangu ainhie kasi imeongezeka maradufu
ILA MAN CITY ATAKULA KICHAPO CHA MBWAWIZIWachezaji walikuwa hawajiamini kabisa,wanapoteza mpira hovyo
Kichapo kwa man city kipo pale pale, Watazuia wingi wa goals tuILA MAN CITY ATAKULA KICHAPO CHA MBWAWIZI
Tena wale tutawanyoosha ili wakati mwingine wawe na heshimaKichapo kwa man city kipo pale pale, Watazuia wingi wa goals tu
Pep anatakiwa ajue kuwa alikuwa anachukua vikombe kwa kuwa barca ni kikosi bora na sio vinginevyoTena wale tutawanyoosha ili wakati mwingine wawe na heshima
Uko sahihi mkuu hawez kuja nyumbani kwetu akaondoka salama siku hyo yule zeruzeru wao de bryne atakuwa anakimbia hovyo na HII MSN sioni beki wake wa kuizuiaPep anatakiwa ajue kuwa alikuwa anachukua vikombe kwa kuwa barca ni kikosi bora na sio vinginevyo