FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kutokana na Game ya jana mimi niliona ile red ya Jeremy ni sahihi kabisa sababu ile kasi ya Sterling sio ya kawaida, kwa speed yake angeweza kuingia ndani ya Box na kusababisha goal.

Safi sana Jeremy kwa kummaliza kulekule juu ila tu tukwambie kwamba hauna maisha marefu Barca.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu punguzeni maneno ya kichochezi kwa mpendwa wetu
 
Kutokana na Game ya jana mimi niliona ile red ya Jeremy ni sahihi kabisa sababu ile kasi ya Sterling sio ya kawaida, kwa speed yake angeweza kuingia ndani ya Box na kusababisha goal.

Safi sana Jeremy kwa kummaliza kulekule juu ila tu tukwambie kwamba hauna maisha marefu Barca.

Huyu jeremy anamiaka mingapi lakini? Mbona anaoneka babu kabisa, 38 hakosi aise
 
Kitu kimoja nnachopenda toka kwa Messi, NI UMAKINI WA KUFUNGA GOLI.

Huyu Jamaa ni hatari sana anapokuwa na Goal. Sijui kwanini Suarez na Neymar wasikae chini wakafundishwa na Messi. Yale magoli ya jana yamenikumbusha mbali sana kipindi nacheza mpira. Nilikuwa fundi sana wa magoli ya kutisha na ya kumpeleka kipa wrong direction. Mimi Messi kanizidi kwenye kuchop tu.
 
Ooh mrembo, ujambo mama! Unatoa hongera kwani umeshaahama timu. Najua njia kuu ni kule united. Huku ni nyunba ndogo. leo vp utaangalia futuhi au game ya United?
Hahahahahhaa bado nipo tu sana ila sikuhizi majukumu yamenilemaa kiasi kwamba sijaifatilia sana nyumba hii,......... bado huko futuhi sasahivi tunakupiga chini tunataka tufocus na ligi zaidi,so matokeo ya Leo sitashangaa vyovyote vile tutapokea.
 
Ever mambo? Nilishaizoea ile avatar yako ya zamani, ebu irudishe maana inanikumbushia mbali sana, 😀
Mambo poa ,aisee habari za siku? Hata Wewe unajua nimekusahau na hii avatar yako?..... hii ni gift from my special one akikusikia yuko hapa hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unamzungumzia yule msukuma wa Bamaga
 
Daddy ngoja nikwambie Ukweli PNC ananisakama sana ndo Maana hunioni humu,yaani kila akiniona tu ananitia vidole cha macho sijui nimemkosea nini?[emoji24] [emoji85] , always I admire Barca. .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dady mwenye mtoto yuda
 
Wewe mtoto nimekukosea nini? Daddy Aleyn si umemuona lakini?........ Mbona Wewe ni Arsenal lakini tumetulia tu tunajua ndo hivyo kipendacho roho ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningeshangaa usingeanza kutapatapa
 
Back
Top Bottom