FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi ni kiumbe cha kufikirika / ajabu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.. Hakukuwahi kutokea kama yeye na huenda hata baada yake hakuna atakayekuja kujaza nafasi yake ...

Messi uishi maisha marefu

Shkh Kiwelu! Upo sahihi bro...sidhani kama atatokea kama la pulga,mchezaji wa kipekee... binafsi nikiwa nacheki mpira macho yangu yote kwa Messi, akikamata mpira napata amani....
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Messi siyo mtu mzuri.

For more details on this topic, see Spanish football top scorers.

Duh' ni balaa hiki kiumbe....
 
Shkh Kiwelu! Upo sahihi bro...sidhani kama atatokea kama la pulga,mchezaji wa kipekee... binafsi nikiwa nacheki mpira macho yangu yote kwa Messi, akikamata mpira napata amani....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Messi hiki kiumbe ni hatari
 
😀😀 unamuonea bana angalia comments yake hapa chini....


"Nitakuja, hope Leo point 3 kibindoni tena zenyemagoli ya kutosha".....
Mkuu hilo ni dua la kinafki mimi namuelewa sana huyo kisichana cha under18
Yeye anaipenda man u japo hyo man haimpendi
 
Messi asishindanishwe na mchezaji yoyote bali kila shindano awe anapewa heshima ya kipekee kumshindanisha na wachezaji wengne ni uzalilishaji katka soka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Osasuna first half mtu 11 nyuma ya mpira-wana hope kupata goal la kuvizia-mechi kama hizi Neymar na dribbling skills ni muhimu sana
 
Do Man Utd fans hate Messi for these finals outcome??[emoji6]

IMG_20161211_173510.jpg


IMG_20161211_173451.jpg


IMG_20161211_173448.jpg


IMG_20161211_173444.jpg
 
Back
Top Bottom