FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

c3ad9cd648ce0690af7c4fbe69ea88fb.jpg
 
PSG kiherehere chao kimewaponza hii ngoma ilikuwa inadondokea kwa Arse8
Sasa walileta utani na ndio sababu imekuwa timu ya kwanza kuaga mashindano yA 16 bora Uefa
Huku Barcelona ikiwa timu ya kwanza kufuzu UEFA hatua ya 8 bora
 
Back
Top Bottom