FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Usiwe hivo mzee ebu mpongeze ana stahili
hongera sana Cr7. mwaka huu ulistahili, hasa kazi kubwa uliyofanya UCL. ballon d'or mbili na FIFA ballon d'or mbili siyo jambo dogo.
 
c3ad9cd648ce0690af7c4fbe69ea88fb.jpg
Yaani nimecheka kwa nguvu.
Cc BAK
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo dunia imejua mambo kadhaa kuhusu Spain.
Inaonekana Spain ina timu zilizo na wachezaji bora sana. Kumbuka mchezaji bora wa mwaka wa 1,2,3,4,5 wote wanatoka Spain katika timu tatu kubwa za Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid.
Lakini katika tano bora, wachezaji watatu wanatoka FC Barcelona ambao ni Mess-2,Suarez-4 na Neymar-5!
Hongera Spain, Hongera FC Barca, Hongera MSN!
 
[emoji109]
Timu bora sana Barca.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
We tema mate chini, timu mbaya!!!!!
Timu bora duniani unaiita timu mbaya!!!!
You need prayers[emoji12]
Daah!! Nimesikita sana najua ni PNC 1 kakupotosha huyu.

Lakin si mbaya hata hivo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom