BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mti wenye matunda ndio ambao siku zote hupigwa mawe😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King messi
Huyu ni mbrazil?huyu marqinhos anatufaa sana. toka aingie PSG katupia goli tano.
![]()
![]()
![]()
Mbrazil. alianzia Corinthians, akaeenda Rome, na sasa PSG. anamiaka 22.Huyu ni mbrazil?
Na ni beki kiungo au mshambuliajiMbrazil. alianzia Corinthians, akaeenda Rome, na sasa PSG. anamiaka 22.
jamaa ni central back na anaweza cheza kama right back. hata dayot ni back. tunasaka mbadala wa vidal. Sijui PSG watamuachia?Na ni beki kiungo au mshambuliaji
Huyo wamuhimu sana kwetu ila PSG sina uhakika kama watakubali kumuachiajamaa ni central back na anaweza cheza kama right back. hata dayot ni back. tunasaka mbadala wa vidal. Sijui PSG watamuachia?
Uwezekano ni mdogo sana ukizingatia Coutinho ni roho ya liverpool kwa sasahivi wadau wa barca kunauwezekano wa philippe courtinho kutua camp nou wakati wa majira haya ya dirisha dogo la usajili
Na iwe hivyo mkuuTrust me mwaka huu tunachukua laliga tena,Madrid atayumba sana mwezi wa 2-3 cos hawana kikosi kikubwa cha teplacement kama catalans!!
Tuta win tremble mwaka huu tena
ok ila acha tuoneUwezekano ni mdogo sana ukizingatia Coutinho ni roho ya liverpool kwa sasa
rumors za srna kuhusihwa na kuhamia barca zipo ila mimi naona tatizo darijo srna umriwake umeendasrna pia anahusishwa na barca ktk winter