Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani wako nani!? Chapa mwendo.Hongereni watani, mambo yako byebyee!!
Kitu kimoja kuhusu Barca wakihitaji kushinda lazima ushindi hivi unatambua UEFA mwaka huu tunachukua?Hongereni watani, mambo yako byebyee!!
Sawa hivyo zile mnazopoteza huwa hamhitaji ushindi!?Kitu kimoja kuhusu Barca wakihitaji kushinda lazima ushindi hivi unatambua UEFA mwaka huu tunachukua?
Kuna ile inaitwa 101% game concentrationSawa hivyo zile mnazopoteza huwa hamhitaji ushindi!?
Ndg umekosa ada ya kupeleka watoto shule nini? "Mtani wako nani!? Chapa mwendo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtani wako nani!? Chapa mwendo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndg umekosa ada ya kupeleka watoto shule nini? "
Sergio Ramos : Six goals in 11 Liga gamesMagazeti ya Catalunya yanasema jinsi Neymar anavyopiga penalt,anaweza sababisha maafa kwa fans-time span anayochukua na upigaji wake wa penalt waweza sababisha heart attack
Neymar angekuwa timu ya Ramos angekuwa ndio frontman na first name on the teamsheet,huku ana create goals,left,right and centre-usisahau pia kazungukwa na players who would walk into your team with eyes closedSergio Ramos : Six goals in 11 Liga games
Neymar Jr. : Four goals in 14 Liga games
How about benzema? Hahaaa, kucompare winger na defender ni kwa goal statistics ni kuthibitisha yoh lack football maturity! By the way, ukiona timu inashinda kwa magoli ya defenders ujue frontline hamna kitu!Sergio Ramos : Six goals in 11 Liga games
Neymar Jr. : Four goals in 14 Liga games
Naona wameamua kumpa chance. akionyesha utepetevu Pique yuko hapo nje ataingia.Hiki kikosi cha Leo sijakielewa sana hasa back, umtiti na mathew sijui