FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu vp tena na ww umekua manji...au muuza ngada...? Barca must win this game...nackia Thiago silver leo hayupo...!
Hapana I don't deal in those stuff,but ukishakaa duniani unajua nini maana ya "Rule of Law". Motherland inani disappoint,all in all the mighty Barca will make amends
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahhahahaaaa....huko dunian n wakongwe... Hata wenyewe kuendelea n after dictatorship as a model leadership...si unawaona wa u.k na wajureman
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mda ndio unakaribia
 

Attachments

  • Screenshot_2017-02-14-21-49-25.png
    Screenshot_2017-02-14-21-49-25.png
    490.4 KB · Views: 33
  • Thanks
Reactions: PNC
Piga kelelee......leo please my coach naomba tucheze true tiktacka hawa watu tunawafunga pia katikati pachangamke mno
 
Dk ya 06 katikati hatijatulia na right back kubovu aisee Enrique afanye mpango wa back ya kulia tunakosa harmony sana
 
aiseeee Barca haijatulia kabisa na inapaswa Neymar asitoke
 
Back
Top Bottom