Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni habari za kijiweni kwenu huko sio?Meess ni nouma kumuuuza mess ni hasara kubwa barcelona wanamuuza msimu huu.
Amekamua sana leo plus na effort za RakiticMpira unawekwa kwenye njia...Leo busquet kakamua haswaaa....huyu ndie busquet niliye mjua miaka mitano iliyopta
Anaondoka subir misho wa msimuHizo ni habari za kijiweni kwenu huko sio?
Tym inacheza vizuri inafanya pressing ya hali ya juuu waswas ni kocha kumtoa alcantara na kumuingiza gomez.Hyu kocha achunguzwe asijekuwa anabet.
Messi yuko very royal to Barcelona muulize hata Perez amefanya attemp mara 2 na mara ya mwisho ya tatu alifanya mwaka jana ,mahitaji yake yameshatimizwa alichokua anahitaji !!Anaondoka subir misho wa msimu
Verratti,rabiot,matuidi,di maria ,pastore,marquinhosikiwa ndani ya dk 40 ARSE10 amepigwa 5
JE PSG dakika 90 atakula ngap??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ASANTENI KWA KUJA
BONJOUR MWISHO PARIS
Unafanya multiplication kwa scenario tofauti na miaka tofauti nawahurumia sana hiyo most difield yenu iliyojaaa wazee Leo mtakomaikiwa ndani ya dk 40 ARSE10 amepigwa 5
JE PSG dakika 90 atakula ngap??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ASANTENI KWA KUJA
BONJOUR MWISHO PARIS