Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Discipline na tension ya mchezo na wachezaji ndio factor kubwa kama unakumbuka nilikuambia match za ushindi (decisive game) barcelona wanabadilika sana na kuwa mbogo kwakua ni motivation toshaFormation za mpira nashindwa kuelewa,mbona formation tuliyomgaragaza PSG,ndio tuliotumia kwa Valencia lakini hawa Valencia walikuwa wanatukosa kosa sana AU Valencia ni timu kali kuliko PSG
Hiyo ni hela ya chai tu ,furaha namna ile utashindwa kuingia uwanjani?Barcelona,Hispania.
UNAUKUMBUKA ule ushindi wa kihistoria wa mabao 6-1 iliyoipata Barcelona hivi karibuni dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya dimbani Camp Nou.
Basi ushindi huo umeanza kuitokea puani klabu hiyo baada ya jana Alhamisi kulimwa faini ya €19,000 sawa na Tsh43,700,000 za Tanzania na shirikisho la vyama vya soka barani Ulaya (UEFA).
Barcelona imeliwa faini hiyo baada ya kubainika kuwa ilifanya makosa mawili ya utovu wa nidhamu kwenye mchezo huo.
Kosa la kwanza lilikuwa ni wachezaji na mashabiki wake kuvamia uwanja na kuanza kushangilia ushindi hata kabla mchezo haujaisha.Kosa la pili limetokana na wachezaji watano wa Barcelona kuonyeshwa kadi za njano katika mchezo huo.Kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni utovu mkubwa wa nidhamu kwenye mchezo mmoja.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli kabisa mkuuHiyo ni hela ya chai tu ,furaha namna ile utashindwa kuingia uwanjani?
Kama kawaida mzee tuna enjoy international breakWakubwa kwema lakini? Red,Mwekundu,Bibie jackline,Enzymes nk mupo jamani na wote kwema alakini? PNC nilishaonananae mitaa yetu ya kujidai😀😀😀...Nilikuwa Estadio Monumental nacheki mechi ya mfalme hivyo nimerejea nimechoka wazee😀
Kama kawaida mzee tuna enjoy international break