Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No Andre is defensive in natureKama Ivan Rakitic anacheza leo kungekua tu na balance pale katikati na Dennis Suarez angeweza kucheza ila wapi...Robbot amekuja kuharibu sherehe
wewe inaelekea ni exhibitionist by nature. hapa unatafuta sababu ya kufanya yako, na unajua vema kuwa utaipata.JUVENTUS leo lazima ashinde......Barcelona wakishinda kesho natembea uchi Kariakoo
tatizo lake hana spidi na maamuzi ya fasta. huwa anaharibu momentum.No Andre is defensive in nature
We tushakuzoea ni mnafiki ahadi yako ile ya mwanzo hatujaisahauJUVENTUS leo lazima ashinde......Barcelona wakishinda kesho natembea uchi Kariakoo
Huyo alisema atakunya hadi kibaha tukigeuza matokeo ya PSG ,dont trust such snitchwewe inaelekea ni exhibitionist by nature. hapa unatafuta sababu ya kufanya yako, na unajua vema kuwa utaipata.
Ana njano 2 wakuunafikiri ni njano
busketi amepatwa na nini? itabidi mascherano akae pale. nyuma wawe umtiti, pique na alba.
Weeee wee huyo mtu tunamuuza bure next seasonnimesikia mathieu anaanza leo [ mundo derpotivo]
Nikweli anaaza mkuuWeeee wee huyo mtu tunamuuza bure next season