FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

majiraniiiii
tunaenda mdogod mdogo
sasa ili mpate goli atoke nanihiii ooooh, wote wako uwanjani.

tuko pamoja mpira bado huu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
swala la barca kutoka wala halina mjadala tena, wachezaji washapanic ,, , na hiyo njano ya neymar inaondoa kabisa raha ya mchezo japo hata mi natamani barca ifungweeeee
 
Tatizo hawa mashabiki wa Barca ni maandazi sana na wachezaji wao washapanic
 
BADO NINA IMANI.NA.BARCELONA.NA TUNAPITA KWA KISHINDO
Mkuu Juve ndo timu yenye ukuta wa chuma msimu huu na Tania za Wataliano kukaba kwa nidhamu mwanzo mwisho unazijua na rafu za kipuuzi hucheza mapema wakiwa mbali

Kwaherini Barcelona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom