Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mpira umekwishaaaaaa. Ngoja nikaroge kwa jirani japo anamechi laini
Barca wanasifa wanashambulia hadi dk za nyongeza.
Neymar magoli yasingekataa this season-hii ndoo by now Barca angeshakuwa crowned championsNeymar ana ball control (possession) ya juu sana next season am sure atakua top goal scorer akifanyia mazoezi nilicho suggest
He is improving everyday
Yeah i concur withNeymar magoli yasingekataa this season-hii ndoo by now Barca angeshakuwa crowned champions
Hubby anasema that was not a penalty,anadai Refs are spoiling the gameYeah i concur with
tumebakiza palmas away na eibar nyumbani.Halafu hii gemu ndo ilikuwa tafu kuliko zote zilizobaki.
Granada laini sana wamefunga goli 28 na kufungwa 74 la leo la 75.Real madrid naona wameanza mambo... wananongoza 1-0 dk ya 3
2-0 tayari. Watapigwa nyingi leo...mi naacha kuangalia hii gemu nikafanye mambo mengine...Granada laini sana wamefunga goli 28 na kufungwa 74 la leo la 75.
mi mwenyewe nimeiacha. bora niende MMU.2-0 tayari. Watapigwa nyingi leo...mi naacha kuangalia hii gemu nikafanye mambo mengine...