Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni hand ball kabisa ameufuata mpira kwa mkono na kuzuia ,mpira haujamfuata yeyeHubby anasema that was not a penalty,anadai Refs are spoiling the game
mbona sio game zenu zilizobaki izi au ujui ratiba yenu mna mechi na las palmas na eibarMatch ngumu imeisha tumebakiza na Granada then Malaga
Upande wa pili wamebakiza match na Granada (leo),malaga,celta virgo na malaga
Typing error ni las palmas na Eibar ,nyie mmebakiza Malaga ,celta virgo na Sevilla zote ngumu [emoji28][emoji28]mbona sio game zenu zilizobaki izi au ujui ratiba yenu mna mechi na las palmas na eibar
hii ni kanzu kabisa kwa neymar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu una hisa nini huko kwenye betting site?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unamsema Gomezi hapa [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wazee wa barca coutinho anakuja au?barca wanahitaji kusajili sehemu ya kiungo na beki.waachane na wachezaji wa laki 2 kama arsenal[emoji41]
mkuu ngoja waje watoka mapovu