FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jack vipi huko, Catalonia inaweza kujitenga? Nini itakuwa hatima ya Barca?
wenyeji wanataka kujitenga sisi wageni tunaona haifai Mahakama za Spain zinajitahidi kuzuia referendum na zikishindwa ndio basi tena.Sasa sijui what will happen,nobody knows but from a football point of view Barcelona fc na umoja wa Spain are inseparable
 
Jack nataka kuja kuangalia mechi mojawapo hapo Camp now, taratibu kwa Sisi tuliopo bongo za kufuata ni zipi?
 
Ingia FC Barcelona official site,kadi yako ya bank kama inaruhusu purchases abroad,follow instructions za sehemu unayotaka kukaa bei zinatofautiana,bei rahisi ni kwa away supporters-sababu uko nje utatumiwa code siku ukija una present hiyo code either stadium offices au mjini unakabidhiwa ticket yako-unajitahidi kuwepo uwanjani at least 2 hours before maana atmosphere inakuwa out of this world-angalia tuu usivamie bars za ndani ya stadia maana by the time mpira unaanza wewe umelewa chakari-sana sana stewards watakutupa nje
 
Asante sana, gharama za malazi zipoje na sehemu nzuri za ku-lodge(hata kama unaweza kunitajia sehemu )
 
Huyu deo anaua attack. Akipata mpira apass nyuma. Winga gani huyu?
 
Back
Top Bottom