mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Jana wanakuambia aliingizwa tu hata formation na philosophy yetu haijui akawalaza Espanyolhuyu dembele katuletea bohari ya dawa kule mbele...sijui itakuwa vipi akianza kuwaelewa kaka zake pale mbele MSD
Halafu ile ni proof kuwa Deleouf alitakiwa awe anachonga cross vile kama Dembele?[emoji23]