Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
| 14 | MF | Javier Mascherano | |
| 15 | MF | Seydou Keita | |
| 16 | MF | Sergio Busquets | |
| 17 | FW | Pedro Rodríguez | |
| 19 | DF | Maxwell | |
| 20 | MF | Ibrahim Afellay | |
| 21 | DF | Adriano | |
| 22 | DF | Éric Abidal | |
| | DF | Andreu Fontàs | |
| | MF | Alexander Hleb | |
| | FW | K |
nilisahau jana kabla Cesc kutua Barca ningekutumia wachezaji wote na jezi zao,jezi namba 4 ilikuwa haina mtu mpaka leo ndio Cesc Soler kapewa rasmi,Thiago,Hleb nk walikuwa bado hawajakabidhiwa jezi,ila inaonekana kama Cesc asingetua basi jezi namba 4 ilikuwa ya ThiagoSi angetumia namba 30 ambayo huwa anavaa kila alipokuwa anacheza first team! Kama unafahamu maana ya pre-season preparation utajua kuwa namba aliyopewa Thiago ndo atakayoitumia kwenye ligi kwa vile tayari ameshakuwa promoted kwenye kikosi cha kwanza.Ila inaweza kutokea kama Cesc atatua Barca Thiago anaweza akakubali kuiachia.Raul alikataa kuachia namba 7 kwa Becks na kwa Christiano pia. Ivan Zamorano na Ronaldo ilikuwa ishu kwa jezi namba 9 pale Inter, na kwa shingo upande Zamorano alipokubali kuiachia akawa anavaa jezi yenye namba 8+1 mgongoni ambayo maana yake ni 9 ileile!
Hizi habari za Fabregas na Nasri mpaka zinakera yaani......
<br />spanish cup barca vs madrid el clasico ngoja tuwaonyeshe tena mpira leo
ndo ukweli, aulize akina jose antonio reyes, flamin,etcNachelea kusema Fabregasi anaweza kukalia kuti pale barca