MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
Wakati ukuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT: Girona 2-1 Real Madrid. Lete tena fyoko fyoko zako za jana huku ukibana pua zako. Unamcheka fulani Leo wakati kesho hujui atachekwa nani? Jibu unalo!!!.Atletico Bilbao mnazo sababu kubwa 3 kuwafunga hawa Mbwa Leo:
1. Bibi yao Iniesta kavunjika kiuno, pale kati leo njia nyeupeee...
2. Dada Maserano amekuja kusindikiza tu timu, hataingia uwanjani. Namba sita njia nyeupee...
3. Wana uchovu wa Maandamano, Mabomu ya machozi ya jana wakidai waachiwe Catalonia yao kutoka kwa Mabepari wa jiji la Madrid.
Pigeni hawa Mbwa kesho niamke na hela ya supu.
Yuko wapi yule sijui padri sijui nani vile? Aje tena hapahapa akibana pua zake kama Jana. Kenchy type kabisa huyu...Match ya leo Ronaldo amevunja record yakuzomewa duniani kila akigusa mpira wanapiga boooo,akipasiwa boo akipaisha boo
Tutawapiga nyingi tu. Ngoja waje kwanza!!!Naisubiria sana Real Madrid kwenye El Classico december 23 lazima wafungulie koki
Yule kijana mwenye suruali yenye zeep kwa nyuma muacheni alikua ameshalewa virobaYuko wapi yule sijui padri sijui nani vile? Aje tena hapahapa akibana pua zake kama Jana. Kenchy type kabisa huyu...
Nahisi mtoto wake Lucas bado yuko catalunya![]()
huyu dogo kaja tena mara ya pili tangu ahame.
Naisubiria sana Real Madrid kwenye El Classico december 23 lazima wafungulie koki
Fyoko kweli yule, sijui huwa anakujaga kutafuta nini ktk uzi huu wa kiumeni.Madrid ni uozo sana na yule padri wao shoga sjui kajificha wapi?
Alivyoshinda moja wakaanza kupiga kelele kuwa jamaa amerudi ktk form yake.Ha ha ha Ronaldo goalless match 10 in a row amefunga goli moja tu kama dawa ya panadol