FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-11-26-16-17-32.png

Mastella estadium
Ndani ya nyumba stay tuned tunachinja na kutenganisha kiwiliwili huku Padri Mcharo akiwa amekalia chupa
 
Valencia wamefunga goli 32 na kufungwa 11 sisi tumefunga goli 33 na kufungwa manne. Wote hatujapoteza mechi na tumedroo 1 wao wamedroo 3. Point 34 wao 30.
 
Back
Top Bottom