Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Keshazama mitini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Game over Barca 2- wapinzani 0
Wapi dada kiboga Padri Mcharo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshazama mitini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Game over Barca 2- wapinzani 0
Wapi dada kiboga Padri Mcharo
Huyu ni full Lamasia graduate halisi, huwa namshangaa kocha kumweka nje ya first 11Denis Suarez mnyama ana vitu vingi sana hila mwalimu alikuwa anapenda mbio za yule mkimbiza upepo
Vip darlingTetesi
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez anasema kuwa mchezaji mwenzake wa zamani Neymar, ambaye kwa sasa yuko huko Paris St-Germain hawezi kujiunga na Real Madrid. (Marca)
Tatizo hawa jamaa wanacheki team performanceView attachment 646456
Am speechless mwaka wa pili mfululizo huu bwana Penaldo mviziaji ndani ya Box
Furaha itatamalaki kwa mashabiki siku hiyo, kama ilivyo Leo baada ya masamaha wa Rais kwa wafungwa...![]()
Huyu jamaa mapema January
bora aende kwa gattuso akiwa anakimbia makofi yatamuhusuMzee wa kukimbiakimbia uwanjani![]()
Pointi 9 zipo palepale[emoji111] [emoji111] [emoji111]Kubabake....
Nyie kunguni mmeona dozi tuliyotoa huko kwa Sevilla.