Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Antoine Griezmann was booed upon arriving for training. The fans shouted: "Messi left because of you!"
yan Griezmann amefeli barca na analipwa hiyo hela? dah.....sjaona impact yoyote ya kutisha na kustahili mkwanja huo toka kwa Griezmann.....Antoine Griezmann was booed upon arriving for training. The fans shouted: "Messi left because of you!"
Hivi wewe ungekubali kupunguzwa mshahara wako kwa sababu ya mtu mwingine?Wanamuonea tu ila nataman griez arudi atletico
Wachezaji wa kifaransa wote inasemekana waligoma kupunguza mishahara yao ili Messi apate anaoutaka
Hivi wewe ungekubali kupunguzwa mshahara wako kwa sababu ya mtu mwingine?
Tusubir tuonane Always Barca naamin bila Messi tutaweza tuMuda wa Real Madrid kutawala soka la Laliga.
Real Madrid hii ya akina Asensio?Muda wa Real Madrid kutawala soka la Laliga.