MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
Inackitisha sana,,,Messi arudi aikomboe timu yake
Koeman has to go.
Sijui Luuk de jong kaletwa wa nini, hamna kitu pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inackitisha sana,,,Messi arudi aikomboe timu yake
wajuzi wa mambo si ndo wanakwambia huyo kocha ndo legend, anaijua asili ya La masia sijui kitu gan!Kocha ndio hovyo timu nyingi tu zina wachezaji average lakini wanafanya vizuri angalia wachezaji wa Liverpool ni was kawaida ila kocha ndio yupo vizuri.
Umeandika hili kishabiki labda, kwani pedri, ansu fati, dembele, etc wanaeza kucheza timu yoyote england tena first eleven ya uhakika sana,Inasikitisha team za england ,zimejaza wachezaji wazuri benchi na kuwatoa kwa mkopo wengine wakati Barcelona team nzima ya hovyo kabisa kiufupi ni ugoro kabisa ,hakuna hata mchezaji mmoja anayeweza kucheza first eleven ya man city,Chelsea ,Liverpool kwenye position yoyote .
Huwezi amini, Koeman hamtaki Riqui. Tangu mwanzo wa msimu alisema hana mipango nae, atafute timu nyingine. Koeman ni kiazi kweli kweli.Mpira tunatawala sana, kufunga sasa ndio mtihani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Riqui kwanini haingizwi, anajua ku-force sana yule chalii
Huko PSG leo kafa mbili akiwa na Messi. Una lipi la kusema?Umuhimu wa Messi umeshaonekana, watajuta kumwachia
Tuliza kipeleMods futeni huu uzi.
Nasema hiv mods futeni huu uzi hili genge la majangili halina mashabiki ila walikopeshwa mashabiki na andunje.Tuliza kipele
Tuliza kipele wewe.Tayari Mshapigwa huko.