Caesar14
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 556
- 1,044
Nakumbuka hii game kuna jamaa tulibishana mpaka koo likanikauka namuelewesha mmebebwa haelewi leo zamu yao..Nakumbuka barca vs psg refa alikuwa man of the match wakasherekea msimu fulani wa UCL. Leo refa kawa man of the match tena wanalia. Kisasi ni hapa hapa duniani