FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

King cup leo Sevilla anamkaribisha Real Zaragoza a.k.a Moro Utd hapo Ramon Sanchez staidum jijini Sevilla,huku Valencia ambao walikula 0-5 vs Real Madrid j2 hapo Mestalla wapo tena hapo Mestalla leo kupepetana nao tena Real Madrid
Kesho hapo la Rosaleda stadium jijini Malaga,Fc Malaga wanarudiana tena na Fc Barcelona,huku Benito stadium jijini Sevilla,Real Betis wanarudiana na Atletico Madrid hapo kesho.
 
Sevilla 4 wafungaji Alvero Negredo mawili,Rakjitic,Real Zaragoza 0(walipata red 1 Jose Manuel Fernandez Reyes)Sevilla wamepita jumla ya magoli 4-0,wanasubiri mshindi wa mechi ya leo Real Betis vs Atletico Madrid(ATM wanaongoza 2-0 walizoshinda pale vicente celderon jijini Madrid)
Valencia CF(Tino Costa) 1 Real Madrid(Karim Benzema) 1,Real kapita 3-1 aggregate,Angel Fabian di Maria alikula red wanasubiri mshindi wa mechi ya leo FC Malaga vs FC Barcelona kukutana nao semi final tarehe 30 Jan 2013
 
FC Malaga 2(Joaquin Sanchez na Santa Cruz) FC Barcelona 4(Pedro,Pique,Iniesta na Messi) Barca wameshinda jumla 6-4,Real Betis 1 Atletico Madrid 1,ATM wamepita jumla ya mabao 3-1 vs Real Betis
January 30,2013 Santiago Bernebeu jijini Madrid ni el clasico ktk 1leg nusu fainali kombe la mfalme yaani CF Real Madrid vs FC Barcelona na 1leg nusu fainali nyingine tarehe 30Jan 2013 ni hapo Vicente Celderon jijini Madrid ni kati ya Atletico Madrid(ATM) vs Sevilla,marudiano ya mechi zote mbili hizi ni hapo 27February 2013.
 
J2 Estadio Mestalla jijini Valencia ni la liga kati ya CF Valencia vs FC Barcelona,jana ktk King Cup semi final ktk uwanja wa vicente celderon jijini Madrid,Atletico Madrid iliichapa Sevilla mabao 2-1 mabao yote(ATM ni Diego Costa yote mawili kwa penati na Sevilla Alvaro Negredo kwa penati pia) yakifungwa kipindi cha pili kwa njia ya penati huku ikishuhudia wachezaji wawili wa Sevilla wakila kadi nyekundu.
 
Ikicheza huko umangani Qatar jijini Doha mabingwa wa soka ulimwenguni,dunia,ulaya nk Spain wamewachapa mabingwa wa copa america Uruguay na kina Suarez na Forlan wakibaki wanajishikia viuno huku waarab wakiburudika na soka safi lililochezwa na namba 1 wa soka dunia Spain,viva Spain,glacies Fabrega en Pedro(3-1 Pedro mawili na Cesc 1)
Spain vs Uruguay 3-1 All Goals & Full Highlights HQ 06/02/2013 - YouTube
angalieni viuriz na tackling safi iliyofanywa na Sergio Busquets ikazalisha bao la pili lililofungwa na Pedro sambamba na pasi safi pale kati kwa bao la kwanza lililofungwa na Fabregas kiasi kipa kuona kiluweluwe,na gonga safi ya wana Barca David Villa,Cesc na kumpa Pedro kufunga bao la 3 la ushindi na kuwamaliza kabisa vijana wa Oscar Tabarez wazee wa Montevideo
 
Granada vs FC Barcelona huko jijini Granada kesho,mji uliokuwa chini ya himaya ya kiislam kipindi kirefu nyuma karne 15,ktk jimbo la kujitegemea la Andalusia Mashariki,J5 inaokuja Barca watakuwa jijini Milan ktk 1st leg vs AC Milan UEFA Champs ligi
 
Granada vs FC Barcelona huko jijini Granada kesho,mji uliokuwa chini ya himaya ya kiislam kipindi kirefu nyuma karne 15,ktk jimbo la kujitegemea la Andalusia Mashariki,J5 inaokuja Barca watakuwa jijini Milan ktk 1st leg vs AC Milan UEFA Champs ligi


Kama kawaida yenu mkija Milan mje na Refa eeh...
 
Kama kawaida yenu mkija Milan mje na Refa eeh...
Mbona mnajihami,refa siku hizi naskia Berlusconi ananua kila mechi penati,Balotelli(ball tell)anafunga,haya angalieni skendo ya kununua mechi isiwakumbe kama ndg zenu ajuza wa Turin na nyie iwe wakati FC Barca wanashangilia UEFA Champions ligi nyie mnashangilie Serie B Championship,ye2 macho J5@Turati tutatoa Torati ya FC Barcelona
 
Wabondei wana wimbo wao wa harusi unakwenda hivi:UNYUMBAA NI MAPATANO NA MKAZIO KUWEMBEZANA YEE YEE NI MAPATANO NA HUYO MESSI KUWEMBEZANA YEE YEE NI MAPATANO MIMI NA GUTIEREZ KUWEMBEZANA OOHOO LA LA LA LA LA WAVIENGWA WETU BARCA KUWEMBEZANA NASI WAGOSI WAO TOKA KWA MZEE BENEDICT XVI!OUWII!
 
Back
Top Bottom