FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

haina kwere mpira ni matokeo bahati ilikua yao
dah maisha yanasonga pamoja barca
 
once again fellaz .... ni vipi..? binafsi naona saikolojia ya timu haiko vizuri but all iin all VISCA EL BARCA hongereni madridista..
ila inauma sana ..
 
Jordi Roura ameishindwa team ila losing streak ni temporary tu we'll bounce back. Força Barça.
 
I will be back soon!
game ya leo kwa mtazamo wangu ni muhimu sana .. ushindi utaipa morali timu regardless which timu tuna kutanayo(deportivo) ambayo inasuasua ... visca el barca ...
bado naamini tutashinda camp nou natutavuka kwenda quarter .. UCL
 
Leo Nou Camp mjeruhiwa mbogo FC Barcelona inawakaribisha timu dhaifu kuliko zote iliyobaki ktk 16teams zaidi ya kujivunia rekodi AC Milan,tukiwa na hasira ya kuchapwa mabao 2-0 na bao 1 kwa kufunga kwa mtindo wa mchezo wa rede kama sio netboli,ila yote 9 kumi ushindi upo leo japo hauji papo kwa papo na haijalishi eidha tutasonga au la! ila FC Barcelona leo anashinda,ntakuja kesho!
 
kama kawa kama dawa Maganga
angalau machungu na madrid yamepungua
nna uchungu nao sana madrid
 
Last edited by a moderator:
[h=5]FT: FC BARCELONA 4:0 AC MILAN
Messi (2), Viilla, Jordi Alba....[/h]kelele zipungue mara ndio mwisho wa barca .. dahhh sasa wote kimyaaaaaaaaaaaaaa
 
Leo Nou Camp mjeruhiwa mbogo FC Barcelona inawakaribisha timu dhaifu kuliko zote iliyobaki ktk 16teams zaidi ya kujivunia rekodi AC Milan,tukiwa na hasira ya kuchapwa mabao 2-0 na bao 1 kwa kufunga kwa mtindo wa mchezo wa rede kama sio netboli,ila yote 9 kumi ushindi upo leo japo hauji papo kwa papo na haijalishi eidha tutasonga au la! ila FC Barcelona leo anashinda,ntakuja kesho!


Hands shake Guti...
 
Maneno mengi yalisemwa juu ye2 sie,na wengine wakatangaza eti Barca wameisha,kwa mapenzi yake Messi leo tunachechemea hahahahaha
 
Mwanzo ilikuwa 2 Ghanaian wachezaji wa zamani Portsmouth walifunga mabao kipindi cha pili,sasa kwa kujibu ni 2 Spanish wachezaji wa zamani Valencia walifunga mabao kipindi cha 2,David Villa Sanchea na Jordi Alba Ramos,magoli ya Lionel Andrea Messi ni ya kuwatoa kipindi cha kwanza,alalae usimwamshe ukimwamsha utalala wewe Gang Chomba
 
ila Gutierez mie naona hili tatizo la barca kukosa plan B lilianzia kwa guardiola na namna yao ya usajili ndio inasababisha tatizo hilo.unapokutana na timu zinazofunga mlango wa mbele na kukuzunguukia mlango wa nyuma kama waitaliano hutakiwi kucheza mpira wa kushambulia muda wote.unapaswa kupooza mashambulizi ili wajisahau wafungue milango.unatazama mlango upi umefunguka,wa kulia,kushoto au katikati..unapitia pale!hilo ndio tatizo kubwa la barca.sasa hawawezi kucheza mpira huu ninaosema kwa sababu unahitaji defenders zenye uwezo mkubwa wa kuhimili mashambulizi na kutupia mipira ya diagonal ya uhakika huku ukiwa na holding midfielders wenye uwezo wa kushambulia kwa haraka.
Kaka mbona kimyaaa! bado nyie sasa na catenaccio yenu Juventus,ujanja kupata na wala ujanja sio kuwahi
 
Back
Top Bottom