ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ki ukweli sina hofu kabisa na hawa wachezaji wa Bayern hofu nilionayo ni ukuta wetu nyuma pamoja na kocha wetu wa zamani aliekulia ktk academy yetu,akacheza kuanzia timu za chini hadi kupandishwa na kua kiungo imara ndani ya timu yeye na kocha wa sasa enrique baadae guadiola akaja kua na kupata jina kua miongoni mwa makocha bora duniani na ni yeye alowatengeneza akina xavi,iniesta na messi.Sasa inakuaje leo ikizingatiwa jana akiongea na press alisema amekuja kikazi na amekuja kushinda hii mbona inatisha kidogo?