Fc Barcelona wenzangu tutatoka leo?

Fc Barcelona wenzangu tutatoka leo?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ki ukweli sina hofu kabisa na hawa wachezaji wa Bayern hofu nilionayo ni ukuta wetu nyuma pamoja na kocha wetu wa zamani aliekulia ktk academy yetu,akacheza kuanzia timu za chini hadi kupandishwa na kua kiungo imara ndani ya timu yeye na kocha wa sasa enrique baadae guadiola akaja kua na kupata jina kua miongoni mwa makocha bora duniani na ni yeye alowatengeneza akina xavi,iniesta na messi.Sasa inakuaje leo ikizingatiwa jana akiongea na press alisema amekuja kikazi na amekuja kushinda hii mbona inatisha kidogo?
 
Robben na Ribbery hawapo so barca anzeni kusherehekea ushindi
 
Dahh gemu ni ngumu , ila natumai barca watashida. Tatizo linakuja je wataingia fainaly?? Kila la kheri barca.
 
Afadhali mimi nilisikia Ribery ndio atakosekana kama na huyo babu nae hayupo ni advantage kwetu,Kama tukishinda Leo basi fainali tutafika
 
Barca lazima leo ishinde,Neymar,Merci na Suarez lazima watoke na magoli leo
 
Mkuu wanatoka und usiogope. jamaa walichezea turine kiwanja chanyokasoma history
 
Unataka ukimwi usiingie kwenye ndoayakoshabikia barcelona
 
Leo ni kipigo tuu kwa Bayernz hatuna majeruhi kasoro Matheiu. Wengine wote wapo njema natumaini kikosi kitakuwa kama hivi.
Formation 4-3-3
Kipa Stergen
Mabeki: Alves, Pique, Mascherano na Alba.
Viungo: Sergio Busquets, Iniesta na Rakitic
Washambuliaji: Messi, Suarez na Neymar.
Best wishez FC Barcelona.
 
Hili chama linahtaji heshima

lionel-messi-fc-barcelona-06052015_f1kxe6x1bbzf1ggl9tdnwhi1n.jpg


1344942_heroa.jpg


1252442_heroa.jpg
 
Barcelona hatutoki ila tunaingia fainali
 
Hv inakuaje mtu anaiacha BARCELONA alaf anashangilia MAN UNITED daaah bdo hainiingii akilini
 
Kweli jamani hatimaye tumewapiga tena wangekufa nyingi tu Suarez ametibua akampelekea miguuni kopa!Hakika Messi hana mpinzani
 
Back
Top Bottom