CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Hilo nalo neno.FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao, TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF mbovu + bodi chakavu ya ligi kuingia mikataba ya hovyohovyo
Wakibisha wamang'olewa kucha tuFCC wao ni Taasisi ya Serikali, wao watakuja na maoni na kushauri Nini kifanyike. Kwakua Tff hii hawataki mgogoro na Taasisi ya Serikali wata angalia namna ya kutuliza Mambo...
Aisee Fcc ni kweli hawezi kufuatilia ama kutoa adhabu yoyote kwa tff..ila kama kuna harufu ya rushwa kwenye mikataba wanayoingia na ni lazima wawajibishwe tu na vyombo husika cya serikali!! Suala la rushwa, uwizi, hujuma halina mipaka katika uwajibishwaji.FCC wao ni Taasisi ya Serikali, wao watakuja na maoni na kushauri Nini kifanyike. Kwakua Tff hii hawataki mgogoro na Taasisi ya Serikali wata angalia namna ya kutuliza Mambo.
Kiuhalisia Tff ni Taasisi huru ambayo inao uwezo wa kukataa kutekekeza chochote kitakachopendekezwa na FCC na FCC wasiweze kuiwajibisha TFF.
TFF ndio wenye mamlaka ya mpira hakuna Taasisi nyingine yenye meno kisheria ya kuwa wajibisha katika maswala yahusuyo soka Kama wakiamua kukaza. Migogoro yote inayo husu Tff inategenea busara ya Tff au mamlaka zilizo juu yao za kisoka Kama vile CAF au FIFA.