CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao.
TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF mbovu + bodi chakavu ya ligi kuingia mikataba ya hovyohovyo