Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Jumbe, labda brainwash ya CCM imekujaa sana huko kichwani. Kwanza nchi hii ni omba omba nani anaihitaji au anaitaka? Hata kijiographia wengi hawaijui ipo wapi. Au wewe unaishi Congo. Ki utajiri afadhali hata ya Congo DRC, Tanzania ina contribute negligible percent kwenye World Trade. Angalia google. Sasa hao ma beberu waipendee nini? Wanaopenda hii nchi ni Matapeli ambao wako na CCM siyo Mabeberu. Umewahi kusikia BH Biliton, Rio Tinto, wanakuja? This country is corrupt to the core. Barick walibadirisha jina kujiita Acasia unajua kwa nini? Hawakutaka jina lao liwe exposed kwenye corruption..Endelea kujifurahisha na kuaminika kuwa ubeberu umeisha na haupo...HALAFU MABEBERU ukiridhika nao na kuwakabidhi hatima ya nchi yako WAO WANAKUJENGEA NA KUIFANYA NCHI IMEREMETE KWA MUKTADHA wako,nikuulze umerudi lini toka singapore usemako?
Tangu Trump awe Rais Marekani mwaka 2016 hajachagua Balozi Tanzania unajua kwa nini? Yule aliyeondoka alikuwa anakaimu. You know why? Trump anasema hakuna importance ya kuwa na Balozi Tanzania.