Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

Pale wamezingua. Kuna namna unawezazitengenezea folder hizo picha halafu ukaficha folder kupitia setting sema sisi hiyo shida yake ni kwamba ukitaka kushare picha mojamoja mfano uko whatsapp unataka kutuma picha,ukitaka kushare hata zile zilizofichwa zinaonekana kwenye list
Je kwa matoleo ya zamani labda feature hizo zitaendelea kuwepo? Google wahuni sana.
 
MaKamanda naomba kuuliza hii Red Rice 6 pro ndio model ipo ya Xiaomi maana inanichanganya
 
Red rice? Hebu hakiki kwanza maneno yako
Simu za Xiaomi ni Xiaomi, Redmi, Poco na Black Shark
Hawana Red rice
 
Usichojua ni kwama wakati tunaanza kuzijua hizo simu
za Xiaomi zilikuwa zikiitwa kwa kichina" Hongmi" amabayo ukitafsri kwa kingereza inamaana ya red rice.
Baadae ndio wakabadili jina la hongmi kuwa Redmi
 
Pale wamezingua. Kuna namna unawezazitengenezea folder hizo picha halafu ukaficha folder kupitia setting sema sisi hiyo shida yake ni kwamba ukitaka kushare picha mojamoja mfano uko whatsapp unataka kutuma picha,ukitaka kushare hata zile zilizofichwa zinaonekana kwenye list
Afadhali ila kwenye message nako hakuna tena zile feature za zamani au kuna namna ya kuifuta hii application ya message niweke ya Xiaomi?.
 
Usichojua ni kwama wakati tunaanza kuzijua hizo simu
za Xiaomi zilikuwa zikiitwa kwa kichina" Hongmi" amabayo ukitafsri kwa kingereza inamaana ya red rice.
Baadae ndio wakabadili jina la hongmi kuwa Redmi
Kwa hiyo unazungumzia simu za zamani Sana
Anyway ngoja nipishe, enzi hizo nilikuwa sijui chochote kuhusu Xiaomi. Hapo nilikutajia brand za sasa za Xiaomi kumbe ww unazungumzia brand iliyokufa tayari

Ngoja niwapishe wakongwe
 
Nimefuatilia huku pinduoduo na taobao mpaka sasa Xiaomi wanaziita hong Mi huko yuan
 
Naomba msaada wa settings ya simu yangu Redmi note 10 pro kama nipo kwnye call iwe inanionyesha kuwa kuna mtu mwingine ananipigia
 
Hivi Miui 13 na 14 ipi ipo bora kwenye ukaaji wa chaji
Zote zinatunza chaji ila MIUI 14 iko poa zaidi kwa sababu imekuja na feature ya Auto compression of apps ambapo apps zote ambazo huzitumii zinakuwa temporarily compressed ili ku-improve performance na kupunguza ulaji wa chaji

MIUI 14 ni more battery efficient kuliko MIUI 13
 
Maana nimelinganisha nilivyokuwa na miui 13 na ya sasa 14

Naona 14 inakula zaidi ya 13
 
Ukidownload new update na bloatware zinarudi tena. Jaribu kuzifuta zote ingawa solution ya tatizo lako inaweza kuwa fixed ukikomaa na Google
MIUI 14 ime improve power consumption kuliko MIUI 13. Itakuwa kwako kuna shida mahali
 
Simu za Xiaomi zipo nyingi sana na zina design tofauti tofauti, ni ngumu sana design zote zikuvutie. Mfano kwa hapa Bongo watu wengi hawapendi big circular camera module kama ya Xiaomi 12S Ultra, lakini Xiaomi ana design nyinginyingi. Mfano angalia hizi
Xiaomi 12 ProView attachment 2526981
Xiaomi Redmi Note 10 ProView attachment 2526982
Xiaomi 12T ProView attachment 2526983
Mbona sioni ubaya wake
emoji849.png
[emoji

Second Space ni unyama sana
Kuna tofauti gani kati ya hizi simu za redmi na xiaomi, na ipi ni nzuri
 
Xiaomi ni jina la kampuni na kwa sasa inatengeneza simu katika brand 3 tofauti: Xiaomi(hizi zinabeba jina la kampuni mama), Redmi na Poco. Xiaomi wanatengeneza flagship , Redmi na Poco ni sub brand zao ambazo zimejikita kutengeneza simu nzuri kwa gharama za chini. Zote ni simu nzuri, bajeti yako na preference zako ndio zitaamua ununue Xiaomi, Redmi au Poco ila zote experience ni ileile, tofauti ni kwamba Xiaomi ni more premium, Redmi na Poco ni midrange nzuri, low end pia wanazo
Kama una budget ya chini Redmi na Poco wana simu nzuri sana na zenye very capable hardware kuliko washindani. Kwa hiyo zote ni nzuri cha msingi zinatoa product bora kulingana na bei.
Kwa mfano kama unataka simu ya Xiaomi, unaweza sema budget yako ni kiasi gani?
 
shukrani

Kwa mfano kama unataka simu ya Xiaomi, unaweza sema budget yako ni kiasi gani

Xiaomi ni jina la kampuni na kwa sasa inatengeneza simu katika brand 3 tofauti: Xiaomi(hizi zinabeba jina la kampuni mama), Redmi na Poco. Xiaomi wanatengeneza flagship , Redmi na Poco ni sub brand zao ambazo zimejikita kutengeneza simu nzuri kwa gharama za chini. Zote ni simu nzuri, bajeti yako na preference zako ndio zitaamua ununue Xiaomi, Redmi au Poco ila zote experience ni ileile, tofauti ni kwamba Xiaomi ni more premium, Redmi na Poco ni midrange nzuri, low end pia wanazo
Kama una budget ya chini Redmi na Poco wana simu nzuri sana na zenye very capable hardware kuliko washindani. Kwa hiyo zote ni nzuri cha msingi zinatoa product bora kulingana na bei.
Kwa mfano kama unataka simu ya Xiaomi, unaweza sema budget yako ni kiasi gani?
kwa bajeti ya kuanzia laki3-mpaka4 hapo naweza kupata aina gani
 
Back
Top Bottom