Sijui kama atakuwepo maana nimeonana naye kwenye wodi fulani hapa karibu na Central Police, taasisi yangu inafadhili mradi fulani pale.Majaji watakaoitwa icc au takukukuru mwaka 2025 ni pamoja na huyu matupa
Umewasahau UVCCM ambao wanadiriki kusema kwenye vyombo vya habari wangemuua Zitto, na yule mchumia tumbo la utapia-mlo kule bungeni aliosema Zitto auliwe (ushahidi wa kumfunga ni rekodi za hansard).Majaji watakaoitwa icc au takukukuru mwaka 2025 ni pamoja na huyu matupa
Mungu hadhihakiwi. Unaweza kuwa na nguvu za ajabu za kuwaua na kuwatesa unaodhani hawana uwezo wa kupambana nawe LAKINI na wewe unaweza kufa au kuteseka kwa namna nyingine. Mwisho wa yote ukateseka kama unavyotesa, na ukafa kama unavyokuwa ukiua.Sijui kama atakuwepo maana nimeonana naye kwenye wodi fulani hapa karibu na Central Police, taasisi yangu inafadhili mradi fulani pale.
Ni upuuzi kudhani Lissu anapigania kiinua mgongo muuaji we!Njaa haina baunsa, sasa ukoo mzima unalilia kiinua mgongo chetu.
No, you don’t get our money!
Anaumwa nini KAMANDASijui kama atakuwepo maana nimeonana naye kwenye wodi fulani hapa karibu na Central Police, taasisi yangu inafadhili mradi fulani pale.
ICC haihusiki na mashtaka ya aina hii.Majaji watakaoitwa ICC au TAKUKURU mwaka 2025 ni pamoja na huyu Matupa
Your money? Tayar devil spirits zimeathiri bichwa lako na msambwanda wako.Njaa haina baunsa, sasa ukoo mzima unalilia kiinua mgongo chetu.
No, you don’t get our money!
Hapo kuna hospitali ya Ugonjwa wa Kifua Kikuu. Na ugonjwa wa Kifua Kikuu siku zote unakwenda sambamba na Ukimwi. Huwezi kuanza tiba ya Kifua Kikuu bila kupima Ukimwi.Sijui kama atakuwepo maana nimeonana naye kwenye wodi fulani hapa karibu na Central Police, taasisi yangu inafadhili mradi fulani pale.
Mi simo !Hapo kuna hospitali ya Ugonjwa wa Kifua Kikuu. Na ugonjwa wa Kifua Kikuu siku zote unakwenda sambamba na Ukimwi. Huwezi kuanza tiba ya Kifua Kikuu bila kupima Ukimwi.
Acha kujimwambafai. Uwe na taasisi halafu uje kushinda huku JF? Eti "taasisi yangu", ipi?Sijui kama atakuwepo maana nimeonana naye kwenye wodi fulani hapa karibu na Central Police, taasisi yangu inafadhili mradi fulani pale.
Hata kama hawatakuwepo tutapeleka mavufu yao mahakamaniSijui kama atakuwepo maana nimeonana naye kwenye wodi fulani hapa karibu na Central Police, taasisi yangu inafadhili mradi fulani pale.
Hako kadada bwana! Eti tasisi yanguAcha kujimwambafai. Uwe na taasisi halafu uje kushinda huku JF? Eti "taasisi yangu", ipi?
Nakukumbusha tu kuwa Mtikila alisema maneno kama hayo kuhusu Lowassa, na unajua nani aliyetangulia.
Wewe siyo Mungu, si ajabu akawepo na wewe ukaondoka kabla yake. Tubu, na uwe na unyenyekevu kuhusu maisha, acha kutabiria wengine mabaya.