Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
unalalamika , unalia au unapambana ? halafu unapaswa kutambua kwamba hapa jf si mahali ambapo wanashinda makapukuAcha kujimwambafai. Uwe na taasisi halafu uje kushinda huku JF? Eti "taasisi yangu", ipi?
Nakukumbusha tu kuwa Mtikila alisema maneno kama hayo kuhusu Lowassa, na unajua nani aliyetangulia.
Wewe siyo Mungu, si ajabu akawepo na wewe ukaondoka kabla yake. Tubu, na uwe na unyenyekevu kuhusu maisha, acha kutabiria wengine mabaya.