Februari 25, 2020 rufani ya Lissu kupata kibali dhidi ya Spika kumvua ubunge

unalalamika , unalia au unapambana ? halafu unapaswa kutambua kwamba hapa jf si mahali ambapo wanashinda makapuku
 
unalalamika , unalia au unapambana ? halafu unapaswa kutambua kwamba hapa jf si mahali ambapo wanashinda makapuku
Ok boss. Tueleze kuhusu taasisi yako na jinsi ulivyojua kuwa huyo mheshimiwa hatakuwepo duniani ifikapo 2025.
Wakati unaeleza hayo kumbuka yaliyowapata wenzio waliotabiria wenzao vifo, nimekupa mfano wa Mtikila.
 
February 25, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Hoja ya pingamizi aliyoileta Spika, yatupiliwa mbali

Mawakili wa serikali na Spika waja na hoja tatu kupinga rufaa ya Tundu Lissu kuomba kibali. Jaji atupilia mbali hoja moja iliyowakilishwa na timu ya Spika na mawakili wa serikali. Hoja mbili zilizobaki za serikali kusikilizwa.

 
Kwa hiyo mkuu, ngoma inogire

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asanteeeee
 
Ok boss. Tueleze kuhusu taasisi yako na jinsi ulivyojua kuwa huyo mheshimiwa hatakuwepo duniani ifikapo 2025.
Wakati unaeleza hayo kumbuka yaliyowapata wenzio waliotabiria wenzao vifo, nimekupa mfano wa Mtikila.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…