kassim Ismail
Member
- Aug 30, 2013
- 5
- 0
mkuu hiyo ni kama una bahati na loan board,heslb wakipita pembeni, wakati wa kuripot walau 773,000 inamhusu mtu hapo SAUT!!:A S 2152:SAUT ada (350000)+examination fee (130000)+ID 10000+Student Union+3000= mi HKL hesabu sijui hebu jumlisha unipe jumla hapo...
jaman hiv mnaweza kunisaidia ni fedha kiasi gan kwa makadirio kinahitajika kujisajil chuo kabla ya boom?
kijana mbona unatumia ID yangu?vipi tena
kijana mbona unatumia ID yangu?vipi tena
hahaha! umeumia mil 1 na hamsini tu mkuu.
mkuu hiyo ni kama una bahati na loan board,heslb wakipita pembeni, wakati wa kuripot walau 773,000 inamhusu mtu hapo SAUT!!:A S 2152:
hicho kiasi endapo chuo kitafungua majina ya mikopo hayaja toka au?
kama TEKU nenda na elfu 1
kwel.na joining yetu inaonesha hvo.
hahaha! umeumia mil 1 na hamsini tu mkuu.
Du TeKU imezalaulika sasa
Yaan buku kweli?
chuo ni Udom kozi ya BA-ECONOMICS&SOCIOLOGY
Nisaidieni me wa ifm kiasi gan kinahitajika
samahan wakuu naomba niulize ifm kuripot lin?,ni kias gan cha gharama kinachohitajka kwa ajili ya usajil kamili? ahsanteni sana